Envaya
Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

large.jpg

ASASI YA HEDEA,INAMTAKIA BONDIA PASCAL NDOMBA WA KYELA USHINDI KATIKA PAMBANO LAKE USIKU HUU HUKO GHANA V/S BRAIMAH KAMOKO MUNGU AKUTANGULIE UJE NA USHINDI

 

Mkurugenzi wa Hedea,akimweleza jambo Mgeni

large.jpg

large.jpg

Hedea ni asasi ambayo inasaidia jamii hasa wale wanaoishi na maambukizi ya vvu,wanaowasaidia wagojwa wa majumbani na watoto wanaoishi katika mazingira Magumu,Hedea ilichukua jukumu la kumuhudumia mtoto huyu(Picha juu),kuanzia ngazi ya wilaya hadi Hospitali ya Rufaa Mbeya,kwani alikuwa anasumbuliwa na Saratani ya Ngozi

large.jpg

Picha hapo juu,kushoto ni Julius Mwalubalile(Mwenyekiti) na kulia ni Judith Kilema (Mhazina) wakiwa katika Hospitali ya Rufaa Mbeya wakimfariji Mtoto anae lelewa na asasi ya HEDEA baada ya kulazwa Hospitalini hapo.