Fungua
HakiElimu

HakiElimu

Dar Es Salaam , Tanzania

WAJIBU WA JAMII KATIKA ELIMU

Mara kwa mara sisi kama wanajamii tumekuwa wepesi kuona mapungufu ya Serikali katika kutimiza wajibu wake katika elimu ni jambo jema kwani ni moja ya majukumu yetu lakini je na sisi tumeshawahi kujiuliza nini wajibu wetu kama jamii katika maendeleo ya Elimu nchini Tanzania. Usikose kipindi hiki cha Tafakari Time kitakachorushwa leo 23/11/2012 saa 1 usiku na ITV.
Views: 0
0 ratings
Time: 00:54 More in Nonprofits & Activism
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.