Baadhi ya shule za kata wilayani Kilwa zimeanza kuwekeza katika maabara
Wanafunzi wa kidato cha nne Shule ya Sekondari ya Kinjumbi wilayani Kilwa wakisoma kemia kwa vitendo katika maabara ya shule.Shule hii ipo rtakribani kilometa 70 toka Kilwa Masoko |
Hivi ndivyo tukichanganya inatokea kwenye 'test tube' |
Hii ni result ya huu mchanganyiko.Mananisikia?Mwanafunzi akiwaelekeza wanafunzi wenzake juu ya mchanganyiko alioufanya kwenye 'test tube' na reaction iliyotokea. |
Majaribio ya maabara yakiendelea.wanafunzi hawa ni wa kidato cha nne na wanategemea kufanya mtihani wao wa Chemistry,Biology na Physics kwa vitendo. |
Embu leye hiyo test tube.ingawa hatuna groves na miwani kwaajili ya kujikinga kama reaction mbaya itatokea. |
tunaendelea hivi |
Unaona inavyokuwa?Tunachanganya hivi |
Chumba cha maabara ya shule ya sekondari ya Kinjumbi |