Injira
HakiElimu

HakiElimu

Dar Es Salaam , Tanzania

TAMKO LA HAKIELIMU KUHUSU MGOMO WA WALIMU

Shirika la HakiElimu limetoa tamko kuhusu mgomo wa walimu unaoendelea nchini. Pichani ni Mkurugenzi wa Shirika hilo,Bi Elizabeth Missokia akitoa tamko hilo mbele ya wandishi wa habari aliokutana nao jana tarehe 02/082012 kabla ya mahakama kuu kitengo cha kazi kusema mgomo huo ni batili na walimu warudi kufundisha.
Views: 3
0 ratings
Time: 03:40 More in Nonprofits & Activism
« Inyuma Ahakurikira »

Tanga igitekerezo

Izina ryawe:
Aho uherereye
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.