Fungua
HakiElimu

HakiElimu

Dar Es Salaam , Tanzania

Mpango wa Elimu Kata ya Kipawa.flv

Kata ya Kipawa ipo katika Manispaa ya Wilaya ya Ilala, Mkoani Dar Es Salaam. Wilaya hii ndipo sehemu zifuatazo zinapopatikana, Ikulu , Makao Makuu ya Jeshi la Wananchi, Benki Kuu ya Tanzania, Makao Makuu ya Wizara Mbalimbali ikiwemo ile ya Elimu, Klabu Maarufu za Mpira Nchini Simba na Yanga, Mashirika na Asasi za Maendeleo nchini , Hospitali Ya Taifa Muhimbili nk .Pamoja na hayo yote wilaya hii bado ina changamoto za elimu kama inavyoonekana katika video hii. Cha kuvutia ni jitihada ambazo Mheshimiwa Diwani wa Kata hii Bonnah Kaluwa ambazo ameamua kuchukua kwa nafasi aliyopewa na wananchi wake katika kutatua matatizo katika eneo lake . Je Ni Viongozi wangapi wamethubutu kuchuka hatua? Muunge mkono na pia elimisha viongozi wa eneo lako wachukue hatua kama alivyofanya Diwani huyu,
Views: 61
0 ratings
Time: 07:54 More in Nonprofits & Activism
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.