UZINDUZI WA KAMPENI YA BORESHA CHEKECHEA
Kampeni ya Boresha Chekechea ina lengo la kuboresha upatikanaji wa elimu ya awali hapa nchini Tanzania. Uzinduzi wa kampeni hii ulifanyika tarehe 27 September 2012 katika Ukumbi wa Tafakari kwenye Ofisi za HakiElimu eneo la Upanga Dar Es Salaam. |
From:
Haki Elimu
Views:
0
![]() ![]() ![]() ![]() ![]() 0
ratings | |
Time: 01:01 | More in Nonprofits & Activism |