Log in
HakiElimu

HakiElimu

Dar Es Salaam , Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Haki Elimu HakiElimu

@justpendo Mimi na wewe twajua fika hawawezi kukubaliana na demand zao watakwama hapo kama walivyokwama kwa miaka mingi, tutafakari zaidi

Haki Elimu HakiElimu

Migogoro ya mara kwa mara kati ya Serikali na Walimu inachangia kuzorota kwa elimu ! Walimu wanapogoma wanafunzi... http://t.co/g7EXPL6W

Haki Elimu HakiElimu

@godnyam Wazo lako linaweza likawa chachu ya kufikiria nje ya box #mikataba ya kudumu, rafiki wetu @RNMsuya umeisikia hili lisilo la kisiasa

Haki Elimu HakiElimu

@godnyam @RNMsuya Unaweza ukawa sahihi katika hilo ,je unadhani suluhu ni ipi katika kutatua migogoro ya mara kwa mara kati ya walimu na GVt

Haki Elimu HakiElimu

@RNMsuya hauwezi kuleta suluhisho ndio maana tunakusanya mawazo njia gani nyingine itumike kama wawili hao wameshindwa kufikia muafaka

Haki Elimu HakiElimu

@RNMsuya Taarifa ni kwamva zimekutana na zimeshindwa kufikia muafaka ! Kwa hiyo maoni yako Rafiki wa Elimu waendelee kukutana kujadiliana??

Haki Elimu HakiElimu

@RNMsuya Hao wameshindwa kutimiza wajibu huo, sasa nini kifanyike na muafaka unaouzungumzia utafikiwa kwa njia gani? labda una njia muafaka

Haki Elimu HakiElimu

@RNMsuya Hilo ni neno la busara kwa kweli wataumia wanafunzi lakini kama wameshindwa kufikia muafaka unadhani suluhisho lipi ni bora?#mawazo

Haki Elimu HakiElimu

Ikiwa wengi watapiga kura ya ndiyo basi walimu kuanza mgomo Jumatatu ! Wadau mnalizungumziaje hili ( Tanzania Daima 27 Julai 2012 pg 5)