Log in
HakiElimu

HakiElimu

Dar Es Salaam , Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Haki Elimu HakiElimu

#bajetielimu The expansion of higher learning is encouraging but quality is another issue - Dr Mkenda from UDSM

Haki Elimu HakiElimu

#bajetielimu Teacher-pupil ratio has improved from 1:48 to 1:46; good. But this is an average; some places 1:70 or worse!

Haki Elimu HakiElimu

Ni furaha kusikia waziri wa elimu amegusia kuanzishwa kwa bodi ya kitaalam ya walimu #bajetielimu

Haki Elimu HakiElimu

#bajetielimu Elimu ya awali: Tulipofika haparidhishi - Dr Kitila Mkumbo

Haki Elimu HakiElimu

Waziri katika taarifa yake amekwepa kuzungumzia suala la mgomo ulitokea,je hii ni sawa?#bajetielimu

Haki Elimu HakiElimu

#bajetielimu Shocking: Minister made no mention of the teachers’ strike amongst the challenges in this financial year - Dr Kitila Mkumbo

Haki Elimu HakiElimu

#bajetielimu tunasemaje: Waziri amejikita kuongelea ubora wa elimu katika ufaulu kwenye shule za msingi; je sekondari? - Dr Kitila Mkumbo

Haki Elimu HakiElimu

Bajeti imezungumzia ubora wa ufaulu wa shule za msingi lakini mbona waziri kakwepa kuzungumzia sekondari? #bajetielimu

Haki Elimu HakiElimu

Tunaanza rasmi kuchambua bajeti ya elimu iliyosomwa na waziri wa elimu mheshimwa Shukuru Kawambwa #bajetielimu

Haki Elimu HakiElimu

Pia tunaye rafiki wa elimu mbunge @DocFaustine anafuatilia tunaomba mpeni michango yenu