Parts of this page are in Swahili. Edit translations

HILI NDILO TAMKO LA HAKIELIMU KUHUSU KAMPENI YA ‘BORESHA ELIMU YA CHEKECHEA http://t.co/NjnQwEu6

@Matteomwita kama una nia ya kutuma mawazo yako bila kuonekana basi yaandike katika projector tutumie nasi tutayaweka huwa hatuandiki majina

@Danielbwaxsy mawazo yako uliyoyatoa ni muhimu sana katika kampeni hii tutafurahi kama yataingia katika album ya kihistoria nchini

@MichuziJr shukrani kaka tulitaka kusikia kwenu na tumesikia na tuna furaha kusikia nia yenu ya kutaka kufahamu zaidi taarifa kamili kuwajia

@CSintah ndio kwanza tumeanza mdau hivyo tunakupa habari hatuja blame mtu yoyote kwani ushiriki ni wa hiari