Fungua
HakiElimu

HakiElimu

Dar Es Salaam , Tanzania

Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri
Haki Elimu HakiElimu

JE SHULE ZETU ZA AWALI NCHINI ZINA MAZINGIRA HAYA? http://t.co/2TEwpAKy

SHULE YA AWALI TUNAYOITAKA

Tangazo linaloangazia shule ya mfano ambayo inatoa elimu ya awali kwa kiwango cha kuridhisha ikiwa ni ujumbe katika kampeni ya #boreshachekechea
Views: 0
0 ratings
Time: 00:59 More in Nonprofits & Activism
Haki Elimu HakiElimu

TANGAZO JIPYA KUTOKA HAKIELIMU LINALOANGAZIA CHANGAMOTO KATIKA ELIMU YA AWALI #boreshachekechea http://t.co/uh6oVcJ8

SHULE YA AWALI PABULIKI

Tangazo linaloangazia changamoto zilizopo katika shule za msingi nchini zenye madarasa ya awali, ikiwa ni njia mojawapo ya kufikisha ujumbe katika kampeni ya #Boreshachekechea.
Views: 0
0 ratings
Time: 01:08 More in Nonprofits & Activism
Haki Elimu HakiElimu

Tumezindua matangazo 2 ya Radio na Television yatakayokuwa yakiruka ktk vituo vya habari nchini muda si mrefu tutayaweka hapa kaa tayari

Haki Elimu HakiElimu

Maazimio ya serikali katika malezi makuzi na maendeleo ya awali ya mtoto http://t.co/hkeXFtJj