Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Icyongereza. Edit translations

Dr Mkumbo akichambua bajeti anasema yeye hatashukuru familia yake hivyo tukae tayari kusikiliza maoni yake na wadau wengine #bajetielimu
Ibitekerezo (0)

#bajetielimu kambi ya upinzani imelipa suala la mgomo wa walimu kipaumbele wakati MoEVT hajiutaja

Wadau wa elimu wakifuatilia hotuba ya kambi ya upinzani inayosomwa sasa bungeni #bajetielimu http://t.co/5J68YfnT

#bajetielimu Tanzania needs to get into the Guiness book of records for the number of learners who pass but can neither read nor write

Wadau wa elimu nchini wakifuatilia bajeti ya elimu ikiwasilishwa na upinzani #bajetielimu http://t.co/kMzm95vK

#bajetielimu Literacy in Tanzania in the eighties: 91%, as per Shadow Minister of Education's speech.