Log in
HakiElimu

HakiElimu

Dar Es Salaam , Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Haki Elimu HakiElimu

Hawa ndio taifa la kesho je tumejiandaa vya kutosha kutoa elimu ya awali huko mashuleni #okoaelimu http://t.co/1YQy5XZ3

Haki Elimu HakiElimu

Elimu ya Tanzania tumetoka mbali unakumbuka? Sehemu nyingine hali bado ni ile ile #Changetanzania #OkoaElimu http://t.co/BLAEPJt3

Haki Elimu HakiElimu

Darasa lenye wanafunzi 211 mwalimu hana pa kukaa akifundisha hutoka nje kusubiri watoto wamalize kuandika #o http://t.co/cz5ecpf9

Haki Elimu HakiElimu

Hali ya elimu wilaya ya Nkasi #OkoaElimu wanafunzi wakiwa darasani http://t.co/rCqN9LKp

Shule za msingi wilayani Nkasi na uhaba wa vyumba vya kusomea







Pix+85+na+88+wanafunzi+wa+shule+msingi+M
Wanafunzi wa shule msingi Misunkumilo ya wilayani Nkasi wakisoma kwenye darasa lililoezakwa kwa turubai, shule hiyo ina madarsa mawili ya namna hiyo ambayo yanatumiwa na wanafunzi wa darasa la tatu, la nne na la awali. Shule hii ipo  mita 400 tu kutoka makao makuu ya wilaya ya nkasi.

DSC04488.JPG 

Pix+35m+wanafunzi+wa+darasa+la+kwanza+ka
Wanafunzi wa darasa la kwanza katika shule ya msingi Isensa wakiwa darasani, darasa hili lina wanafunzi 211, mwalimu hana pa kukaa akifundisha hutoka nje kusubiri watoto wamalize kuandika. Picha na mpiga picha wa HakiElimu 




Haki Elimu HakiElimu

Wanafunzi wa shule ya msingi Misunkumilo wilaya ya Nkasi wakisoma kwenye darasa lilioezekwa kwa turubai #Oko http://t.co/JE8NWinG