Parts of this page are in Swahili. Edit translations

JE SHULE ZETU ZA AWALI ZINA MAZINGIRA HAYA? : http://t.co/zFtx8MvB via @youtube
Comments (0)
SHULE YA AWALI TUNAYOITAKA
Tangazo linaloangazia shule ya mfano ambayo inatoa elimu ya awali kwa kiwango cha kuridhisha ikiwa ni ujumbe katika kampeni ya #boreshachekechea |
From:
Haki Elimu
Views:
0
![]() ![]() ![]() ![]() ![]() 0
ratings | |
Time: 00:59 | More in Nonprofits & Activism |

HILI NDILO MOJA YA TANGAZO KATIKA KAMPENI MPYA YA #BoreshaChekeChea : http://t.co/9VsmjG5C via @youtube

TANGAZO JIPYA KUTOKA HAKIELIMU LINALOANGAZIA CHANGAMOTO KATIKA ELIMU YA AWALI #boreshachekechea http://t.co/uh6oVcJ8
SHULE YA AWALI PABULIKI
Tangazo linaloangazia changamoto zilizopo katika shule za msingi nchini zenye madarasa ya awali, ikiwa ni njia mojawapo ya kufikisha ujumbe katika kampeni ya #Boreshachekechea. |
From:
Haki Elimu
Views:
0
![]() ![]() ![]() ![]() ![]() 0
ratings | |
Time: 01:08 | More in Nonprofits & Activism |

Tumezindua matangazo 2 ya Radio na Television yatakayokuwa yakiruka ktk vituo vya habari nchini muda si mrefu tutayaweka hapa kaa tayari

Maazimio ya serikali katika malezi makuzi na maendeleo ya awali ya mtoto http://t.co/hkeXFtJj