
@shyrosebhanji Tunachongojea ni picha yako ukiwa na ujumbe ambao unadhani utasaidia kuboresha elimu nchini , tunakwenda kukusanya picha 1000

@IamBenPol Tuna furaha kumpokea mwanamuziki mshindi wa tuzo tele za R&B Tanzania , sanaa ni njia nzuri ya kueneza ujumbe tunaomba support

@shyrosebhanji Mheshimiwa Mbunge tunakushukuru sana na tunaelewa dhamira yako ya kuboresha elimu nchini tangu ukiwa NMB ungana nasi sasa

Sio viongozi wote au watendaji wote wenye access ya mitandao ya jamii kwa sababu wanazozijua,tuwafikishie ujumbe kwa picha #boreshachekechea

I posted 23 photos on Facebook in the album "UZINDUZI WA BORESHA CHEKECHEA" http://t.co/d1JPX5Yi

@rahmabajun Shukrani mzalendo na mdau wa maendeleo nchini kwa kueneza ujumbe kuhusu kampeni ya #boreshachekechea tutafurahi kituma na picha

@MackAbouSalmaJr Hayo mawazo yakiwa katika picha yenye bango au karatasi yenye ujumbe huo itakuwa vema zaidi, ndiyo lengo la kampeni hii

@MackAbouSalmaJr Hatuamini katika kushindwa na hatuamini kazi za kuleta mabadiliko ni rahisi ndio maana tunahitaji nguvu ya watanzania wote

Watanzania tunaweza ku #changetanzania tukiamua, tuungane kuiboresha elimu ya awali kwa kushiriki kampeni ya #boreshachekechea

@barbarahassan Tunajua mdau wetu kosa halikuwa lako usijali ndio tumezindua leo kampeni usishau kututumia pic yako tutashukuru @GeraldHando