Log in
HakiElimu

HakiElimu

Dar Es Salaam , Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Haki Elimu HakiElimu

@QuerreChaArusha safi sana je unaweza kuyawasilisha mawazo yako kwa njia ya picha yakaingia katika album ya kihistoria nchini tanzania?

Haki Elimu HakiElimu

@tludovick kka tunasubiria picha yako ikiwa na ujumbe wa nini kifanyike iingie katika album yetu ya kihistoria nchini yenye kubeba mawazo

Haki Elimu HakiElimu

@Matteomwita swali zuri tutafurahi ukiliuliza swali hilo katika bango ukiwa umepiga picha na kuingia katika album ya kihiistoria fuatilia TL

Haki Elimu HakiElimu

@Hakingowi @MichuziJr @CSintah @MissiePopular tembelea TL yetu kufahamu zaidi kwa ufupi #boreshachekechea ndio kampeni mpya na iko online

Haki Elimu HakiElimu

Kushiriki katika kampeni ya #boreshachekechea tutumie picha yako ikiwa na mawazo yako kwenda media@hakielimu.org au hakielimumedia@gmail.com

Haki Elimu HakiElimu

Unadhani ni mwanahabari yupi wa mitandao ya jamii aliyejitokeza kushiriki @Hakingowi @MichuziJr @CSintah @MissiePopular endelea kufuatilia

Haki Elimu HakiElimu

@MackAbouSalmaJr Kesho jibu lako litahakikiwa kama ni kweli au la

Haki Elimu HakiElimu

Je unadhani ni msanii yupi kati ya hawa amekuwa wa kwanza kushiriki katika boresha chekechea @IamBenPol @Profesa_Jay @ Fid Q @MwanaFA

Haki Elimu HakiElimu

EXCLUSIVE : Endelea kufuatilia kujua Msanii yupi wa muziki nchini Tanzania amekuwa wa kwanza kushiriki katika... http://t.co/zFVczrY1

Haki Elimu HakiElimu

@moodewji Mheshimiwa Mbunge, Wadau wa Elimu SIngida wangependa kujua maoni yako nini kifanyike kuboresha elimu ya awali nchini Tanzania