
@EceJay Tutashukuru kusikia kwako kwani wewe ni kioo cha jamii na tunafanya hili kwa kizazi kijacho. Tukutakie sikukuu njema dada yetu

@iAlen We want to believe what you are trying to say is "true" now show us the best way to do it , we will appreciate or else???

@EceJay Shukrani kwanza kwa kuonyesha nia , je unaweza ukatumia njia ya instagram ambako uko, tutembelee kuona zaidi lakini shukrani

@iAlen Thanks for your opinion "good" is relative ! Show us what you mean by good so you can help these innocent kids http://t.co/Un0NKCUu

@EceJay Kama ulijua wewe ni jasiri na usiyeogopa tunaomba ufunguke kuhusu elimu ya awali nchini kwa njia hii http://t.co/Wer7idym

@DocFaustine Shukrani kwa kuitikia wito sasa tunaomba ujumbe wako uufikishe kwa njia hii ili ufike kwa WATZ wengi http://t.co/Wer7idym

@Profesa_Jay Watanzania wanasema hivi katika kampeni ya "boreshachekechea" http://t.co/UlSXQfz0 ukiwa kama kioo cha jamii una ujumbe gani?

@Makambas Watanzania wanasema hivi katika kampeni ya "boreshachekechea" http://t.co/UlSXQfz0 ukiwa kama kioo cha jamii una ujumbe gani?

@BDozen Watanzania wanasema hivi katika kampeni ya "boreshachekechea" http://t.co/UlSXQfz0 ukiwa kama kioo cha jamii una ujumbe gani?