Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri
To empower, build capacity of the community and promote thier initiatives.
Mabadiliko Mapya

GOLA FOUNDATION imeongeza Habari 13.
Picha zinazo onyesha MCHELE safi ulio fanyiwa grading yenye kiwango cha juu unao toka kahama mkoani shinyanga na kuuzwa na kampuni ya GOLA FOUNDATION jijini Arusha. Soma zaidi
5 Januari, 2017

GOLA FOUNDATION imeongeza Habari 241.
Baadhi ya siku za weekend mkurugenzi wa taasisi ya GOLAFOUNDATION na IT manager hupendelea kwenda kupumzika DULUTI FOREST CLUB iliyopo Arumeru mkoani Arusha,huku wakifurahia utulivu na madhari nzuri inayo patikana katika eneo hilo. Soma zaidi
3 Januari, 2017
GOLA FOUNDATION imehariri ukurasa wa Timu.
GENERAL MEETING – BOARD OF – GENERAL SECRETARY ... Soma zaidi
2 Januari, 2017

GOLA FOUNDATION imeongeza Habari 71.
GOLAFOUNDATION imeuanza mwaka 2017 kwa kutembelea baadhi ya sehemu mkoani Arusha maeneo ya Arumeru kwa kutembea zaidi ya masaa 6 bila kupumzika na kufanikiwa kujifunza mambo mbali mbali ikiwa ni pamoja na kilimo cha kisasa cha APPLE kinacho fanywa na kampuni ya GREEN HOUSE mkoani humo. Soma zaidi
2 Januari, 2017
Sekta
Sehemu
Arusha, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu