Envaya
Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri

Picha zinazo onyesha  MCHELE safi ulio fanyiwa grading yenye kiwango cha juu unao toka kahama mkoani shinyanga na kuuzwa na kampuni ya GOLA FOUNDATION jijini Arusha.

Muonekano wa picha zinazo onyesha matofali ya INTEROCK MACHINES zenye ujenzi wa bei nafuu sana ambazo kampuni ya GOLA FOUNDATION imefanikiwa kuwanazo na kuwekeza kwa baadhi maeneo mbali mbali.