Injira
GOLA FOUNDATION

GOLA FOUNDATION

Tanzania

Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Icyongereza. Edit translations

Muonekano wa picha zinazo onyesha matofali ya INTEROCK MACHINES zenye ujenzi wa bei nafuu sana ambazo kampuni ya GOLA FOUNDATION imefanikiwa kuwanazo na kuwekeza kwa baadhi maeneo mbali mbali.

5 Mutarama, 2017
« Inyuma Ahakurikira »

Ibitekerezo (4)

athanas magesa buhuma (bariadi simiyu) bavuzeko
ujenzi wa bei nafuu lkn watu wengi hawaaujui na wala hawatambui unafuu wake ni upi kwa sabbu hamjatoa elimu kwa namna yyte ile kuwaelimisha wajenzi watalajiwa jitaidini kutoa elimu hata kwa njia ya vijizuu ili watu wte waijue
1 Gicurasi, 2017
Andrew buhuba (Arusha- sanawari) bavuzeko
Athanas magesa nashukuru kwa comment yako hatujaweza kutoa elimu hii kwa njia ya vijizuu kama unavyo sema ni kwasababu tunatoa elimu hii kwa vitendo hapa jijini arusha, ni ujenzi wa bei nafuu sana kwani unatumi cement kidogo na udongo wa kichuguu bila kumwagilia na pia hautumii mchanga wala cement wakati wa kujenga tofali zake hujengwa kwa kuungwa moja baada ya jingine.
Kama umevutiwa na ujenzi huu wasiliana nasisi tukupe maelezo zaidi najinsi gani utaipata elimu hii huko simiyu
2 Gicurasi, 2017
ATHANAS MAGESA (via email) bavuzeko
OK,najipanga nipate nikipta hela nitawaomba mje mnifyatulie.
10 Gicurasi, 2017
Andrew buhuba (Arusha- sanawari) bavuzeko
Asante sana Athanas karibu gola foundation kwaajili ya huduma
10 Gicurasi, 2017

Tanga igitekerezo

Izina ryawe:
Aho uherereye
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.