Athanas magesa nashukuru kwa comment yako hatujaweza kutoa elimu hii kwa njia ya vijizuu kama unavyo sema ni kwasababu tunatoa elimu hii kwa vitendo hapa jijini arusha, ni ujenzi wa bei nafuu sana kwani unatumi cement kidogo na udongo wa kichuguu bila kumwagilia na pia hautumii mchanga wala cement wakati wa kujenga tofali zake hujengwa kwa kuungwa moja baada ya jingine. – Kama umevutiwa na ujenzi huu wasiliana nasisi tukupe maelezo zaidi najinsi gani utaipata elimu hii huko simiyu | (Not translated) | Edit |