Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Partner Organizations
Latest Updates
CHANIKA TUAMKE YOUTH ORGANIZATION (CTYO) – Ni shirika lisilo la kiserikali lililoanzishwa rasmi tarehe 13/03/2005 likijulikana kama Tuamke Arts Group na kusajiliwa tarehe 15/01/2014 Katika wizara ya Maendeleo ya jamii jinsia na watoto na kupata namba 00NGO/00006839 – Shirika linatekeza shughuli zake... Read more
May 19, 2018
Chanika Tuamake Youth Organization (CTYO) kwa sasa CTYO haina Mfadhili ila Inaendeshwa na michango ya WWanachama na Tuna Miradi miwili 1.AFYA YA UZAZI KWA VIJANA. 2.TUTUNZE MAZINGIRA YETU. OMBI tunawaomba wadau mbalimbali wanao weza kutufadhili tunawakarinisha.
November 27, 2017
Mikakati mbalimbali inaendelea juu ya kumsaidia watoto waishio katika mazingira hatarishi
July 30, 2017
AFISA MAHUSIANO KCB BENK TAWI LA BUGURUNI ALIPOTEMBELEA OFISI CHANIKA TUAMKE YOUTH ORGANIZATION (CTYO) KATIKA MPANGO WAO WA KUTEMBELEA ASASI NA VIKUNDI MBALIMBALI VYA KIJAMII. Read more
June 20, 2017
Karibuni Chanika tuamke youth organization (CTYO) Kujifunza masuala mbalimbali ya Afya ya uzazi kwa vijana
May 29, 2017
Jitihada bado zinahitajika katika kuhakikisha kuwa vijana wanapata elimu ya Afya ya Uzazi ili kuepukana na Changamoto mbalimbali zinazo wakabili Vijana.
May 18, 2017
Tupendelee sana kukaa na vijana kwani vijana wanapambana na mengi kukaa na vijana itatu saidia kutambua matatizo yao pia kuzoea luguha zao za mtaani mfano.Kijana anakwambia korogeti inatoka maana yake kijana huyo nasumbuliwa na Gono na ile korogeti ni usaha. Read more
February 21, 2017
NI JUKUMU WOTE Sote tuna jukumu la kuhakikisha haki ya Afya ya uzazi kwa vijana zinalindwa na sio kazi ya watoa huduma Afya tu.
February 19, 2017
Katika kuhakikisha kuwa tuna kuwa na vijana bora wenye uwezo wa kupanga mipango kuisimamia na kuitekeleza ili kujiletea maendeleo chanya. Mikakati mbalimbali inafanyika kupitia Chanika Tuamke Youth Organization (CTYO) ili kuhakikisha vijana wanapata haki zao za msingi. – Pia Chanika Tuamke Youth Organization (CTYO)... Read more
February 17, 2017
CHANIKA TUAMKE YOUTH ORGANIZATION (CTYO) – S . L .P ……………. Simu na.+255718586804/+255713849524/+255621153354 – Chanika Wilaya ya Ilala Dar es Salaam ... Read more
February 17, 2017