Katibu Tawala wa Wilaya mpya ya Busega akikata utepe wa kitini cha kufundishia ishara ya ufunguzi wa mafunzo ya kujenga uwezo wa wananchi kutambua haki zao za umuhimu wa kuhuduria katika mikutano ya hadhara,kushiki katika kuibua miradi na kusimamia utekelezaji wake na haki za kusomwa kwa taarifa za mapato na matumizi kila baada ya robo mwaka.
September 16, 2012