Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

large.jpg

Vingozi wa vijiji wapatao 52 toka vijiji 26 vya kata 6 tarafa ya Busega ya Wilaya mpya ya Busega wakiwa katika kikao cha pamoja na viongozi wa FODEO ili kuwawezesha kutambua umuhimu wa kuzingatia misingi ya Uwazi na uwajibikaji ili kuimarisha maendeleo ya jamii na utawala bora katika maeneo ya vijiji wanavyoviongoza,ikiwa ni umuhimu wa kutambua hatua za kuwashirikisha wananchi katika kuibua miradi mbalimbali ya maendeleo na kuiwezesha jamii kusimamia utekelezaji wake na kutambua wajibu wao wa kusoma taarifa za mapato na matumizi kila baada ya miezi mitatu, kufanya hivyo ni kuwezesha jamii kushiriki katika michakato mbalimbali ya maendeleo vijijini.

September 16, 2012
« Previous Next »

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.