Fungua
JOINT INITIATIVES FOR VULNERABLES SUPPORT (MZEITUNI).

JOINT INITIATIVES FOR VULNERABLES SUPPORT (MZEITUNI).

Nyegezi Mwanza, Tanzania

AMANI YETU KAMA TAIFA,NI SISI TUTAKAO ILINDA WENYEWE.

Chrispine (Mwanza, +255)
19 Julai, 2013 21:36 EAT

Ni masikitiko yetu kuwa nchi hii sasa siyo Tanzania aliyotuachia marehemu baba wa Taifa,marehemu Mwl.Julius Kambarage Nyerere.

Matukio ya uvunjifu wa AMANI yanazidi kila kukicha.Wito wetu ni kuwa AMANI,tuliyo nayo ni sisi wenyewe tutakaoamua iendelee ama itoweke.

Chonde,watanzania,tujitafakari ni wapi tulipokosea tukaparekebishe maana sisi ni wamoja.

MUNGU IBARIKI,TANZANIA.................


Ongeza Ujumbe Mpya (Ficha)

Ikipakia...
Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.