Ni masikitiko yetu kuwa nchi hii sasa siyo Tanzania aliyotuachia marehemu baba wa Taifa,marehemu Mwl.Julius Kambarage Nyerere.
Matukio ya uvunjifu wa AMANI yanazidi kila kukicha.Wito wetu ni kuwa AMANI,tuliyo nayo ni sisi wenyewe tutakaoamua iendelee ama itoweke.
Chonde,watanzania,tujitafakari ni wapi tulipokosea tukaparekebishe maana sisi ni wamoja.
MUNGU IBARIKI,TANZANIA.................