Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Viongozi wa shirika lisilo kuwa la kiserikali la Mzeituni Foundation Mkurugenzi Bw.Meshack Masanja na mwenyekiti wa bodi Bw.Kaneja Faraja akiwakabidhi masanduku wananchi wa kata ya Mriti waliounda vikundi vya ujasilia mali vya kuweka na kukopa kupitia mradi uliofadhiliwa na shirika la kiswidenila Forum SYD mwezi jan-2011
March 10, 2011