Envaya

large.jpg

When Mzeituni Foundation, Chigoto Plus and Helen Keller International were launching their two years project (CHANGE project) to be run in Mwanza region (Ukerewe and Sengerema districts) on 14th Nov 2014 which was held at Helen Keller International’s office (Isamilo).The guest of Honor was Hon.Ndaro Kulwijira (Mwanza Regional Admistrative Secretary). On the photo for inauguration event is Stephen Veryser (EHFP Country Coordinator), Chrispine Ferdinand Program Officer for Mzeituni Foundation (Ukerewe district) and Aziz Mtela Program Manager for Chigoto Plus (Sengerema district), Hon.guest of honor (Ndaro Kulwijira) and Dr.Bura (TVLA/MIFUGO Mwanza).

large.jpg

Hawa ni baadhi ya wazee ktk moja ya Clubs wilayani Magu wazee hawa wamekuwa wabunifu na wamekuwa wakitafuta namna ya kujiwezesha wao binafsi kupitia utengenezaji wa bidhaa mbalimbali kama unavyoweza kuona,ili kujiongezea vipato na kupunguza utegemezi.Kama wazee wanaamua kufikiria njia mbadala ya kujiwezesha kupitia vikundi vyao ”IWEJE SISI VIJANA!!!!!”,ni wakati sasa wa ‘KUAMKA NA KUBADILIKA”.

large.jpg

Serikali yetu(URT) inatambua umuhimu wa wazee kama nguvukazi katika maendeleo ya nchi na katika kuondoa umasikini,ndo maana ikaamua kuwa na “Sera ya Taifa ya wazee” na kuwa ya pili Afrika baada ya Mauritius.Sera inataka yaundwe mabaraza ya wazee toka ngazi ya kijiji Mpaka kitaifa.Wilaya ya MAGU inafaa kuigwa ktk hili maana imejitahidi kuwa na mabaraza haya kwa mjibu wa sera na wako hatua za mwisho kuunda Baraza la wazee la wilaya.Naupongeza uongozi wa wilaya ya MAGU,na Wadau wote tunaoshirikiana ktk eneo hili maana wamekubali kufanya mambo chanya hali ambayo tumeibaini tulipokuwa ktk verification ya matokeo kusudiwa chini ya mradi wa “UIMARISHAJI WA AFYA YA MSINGI KWA MAKUNDI YALIYOSAHAULIKA”,unaoendeshwa katika wilaya za Ukerewe na Magu chini ya ufadhiri wa “The Foundation for Civil Society”.

large.jpg

Dr.Athuman Pembe(DMO-Magu)akieleza kinagaubaga juu ya namna wilaya yake ilivyopiga hatua katika matibabu bora kwa wazee kwa mjibu wa sera ya Taifa ya wazee inayotaka yaundwe mabaraza ya wazee tangu ngazi ya kijiji mpaka kitaifa.

large.jpg

Here is Dr.Anna Temu(Senior Lecturer,at SUA) and her fellow facilitators when eating some crisps made from OFSP.All this to increase consumption of OFSP that is rich in vitamin A

large.jpg

Creating different images of the crop(Orange Fleshed Sweet Potato-OFSP) by bringing commercial thinking for more value.i.e chapati,cake,poridge,biskuits e.t.c

large.jpg

6. General understanding on entrepreneurship ,supply and value chain when visited -Morogoro makert (Mawenzi market) and supermarkets.

large.jpg

At the Sokoine University of Agriculture(SUA)attending a 10 days TOT training on "Everything you Ever Wanted to Know about Sweet Potato",which was organized by Helen Keller Internation,Central Potato Centre(CIP),RAC(Reaching Agents of Change),Natural Resources Institute,and SUA.During the practical session manage Sweet potato pest and diseases as well asweevil pest management practices.

large.jpg

Safu ya wawezeshaji katika Mafunzo ya Uongozi kwa wanawake,dada Sofia Donald(Field fficer-Forum Syd Tanzania),Chrispine Ferdinand na Sophia Nicholaus(Program Officers-Mzeituni Foundation).

large.jpg

Picha ya pamoja,jopo la wanawake waliohudhuria mafunzo ya uongozi na wengi miongoni mwao wakiahidi kuanza kwa kugombea nafasi za uongozi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu 2014.