Msaada
Kuwasilisha Ripoti kwa Wafadhili
Wafadhili wengine wanatumia Envaya kukusanya ripoti kutoka mashirika ambayo wanayofadhili. Kama asasi yako ina mfadhili ambaye anatumia Envaya, atawasiliana nawe na kukupa maelekezo kuhusu jinsi ya kuanza ripoti. Baada ya kuanza ripoti hiyo, kutakuwa na maelekezo kuhusu jinsi ya kukamilisha ripoti.
Ifuatayo: Kubadili Mipangilio ya Akaunti yako
Iliyotangulia: Kusambaza na Kutangaza Tovuti yako