Wafadhili wengine wanatumia Envaya kukusanya ripoti kutoka mashirika ambayo wanayofadhili. Kama asasi yako ina mfadhili ambaye anatumia Envaya, atawasiliana nawe na kukupa maelekezo kuhusu jinsi ya kuanza ripoti. Baada ya kuanza ripoti hiyo, kutakuwa na maelekezo kuhusu jinsi ya kukamilisha ripoti. – (image)(This translation refers to an older version of the source text.)