Envaya
Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Icyongereza. Edit translations

Ofisi ya MARAFIKI WA MBEYA KUPITIA NAMBA YAKE
+255(0) 686 605 141 Na BARUA PEPE <marafikiwaelimumbeya@gmail.com> TULIPOKEA MAOMBI TOKA KWA KIONGOZI WA UMOJA WA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU WENYE ASILI YA RUNGWE NA BUSOKELO MAARUFU KAMA Rungwe Natives University Students' Association(RUNUSA) ,Kiongozi wao alitupigia simu na kutuandikia ujumbe kwa barua pepe kuwa wanaomba MARAFIKI WA ELIMU MBEYA tuwaunge mkono katika kufanikisha mpango wao wa kwenda kufundisha katika shule za kata kwa kujitolea.

Sisi kama MARAFIKI WA ELIMU MBEYA, tumelipokea hili kwa furaha kubwa na tunaahidi kushirikiana nao kwa hali na mali.Hata hivyo ushauri ni kuwaomba wanafunzi wa vyuo toka vyuo vyote nchini wenye asili ya MBeya washirikiane nasi kuandaa mpango huu wa kwenda kufundisha katika shule za kata kwa kujitolea.
VIVYO HIVYO, MARAFIKI WA ELIMU MBEYA tunaomba kupata ushirikiano kwa wadau wote wa maendeleo kuunga mkono swala hili kwa kujitoa kwa kila namna ili kufankiskisha zoezi hili.
PICHA HII NI MMOJA WA WANACHUO(LEGAN ASWILE) akiwa na wanafunzi aliowafundisha mwaka jana kupitia zoezi lao la kufundisha kwa kujitolea

21 Gicurasi, 2014
« Inyuma Ahakurikira »

Tanga igitekerezo

Izina ryawe:
Aho uherereye
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.