Ofisi ya MARAFIKI WA MBEYA KUPITIA NAMBA YAKE – +255(0) 686 605 141 Na BARUA PEPE <marafikiwaelimumbeya@gmail.com> TULIPOKEA MAOMBI TOKA KWA KIONGOZI WA UMOJA WA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU WENYE ASILI YA RUNGWE NA BUSOKELO MAARUFU KAMA Rungwe Natives University Students' Association(RUNUSA) ,Kiongozi wao alitupigia simu na kutuandikia ujumbe kwa barua pepe kuwa wanaomba MARAFIKI WA ELIMU MBEYA tuwaunge mkono katika kufanikisha mpango wao wa kwenda kufundisha katika shule za kata kwa... | (Bila tafsiri) | Hariri |