Injira
Environment and Health Tanzania
Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Icyongereza. Edit translations

large.jpg

Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya siku mbili juu ya uchambuzi wa madhara yatokanayo na mabadiriko ya tabia nchi,mafunzo hayo ni moja ya utekelezaji wa mradi unaotekelezwa na Environment and Health Tanzania-EHETA chini ya ufadhiri wa The Foundation for Civil Society.Mafunzo hayo yalifanyika januari 13 na 14 katika kata ya Matongo,wilayani Mkalama.

large.jpg

Mkurugenzi Mtendaji wa Environment and Health Tanzania-EHETA,Bi Hagulwa Balisidya(wa kwanza kushoto) akifatilia kwa makini mada iliyokuwa ikifundishwa katika mafunzo juu ya uchambuzi wa madhara yatokanayo na mabadiriko ya tabia nchi,mafunzo hayo ya siku mbili,yalifanyika katika ukumbi wa jengo la ofisi ya kijiji cha Matongo katika kata ya Matongo,na ilishirikisha wanavijiji 50 kutoka katika vijiji 5 kata hiyo.Mafunzo hayo yalifanyika January 13 & 14,2015 na yameandaliwa na asasi ya Environment and Health Tanzania- EHETA ya Mkalama SIngida kwa ufadhiri kutoka The Foundation for Civil Society.