Injira
Community Support Mission (CSM) Tanzania

Community Support Mission (CSM) Tanzania

Karagwe and Moshi, Tanzania

Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Icyongereza. Edit translations

Poverty

Jonathan Mulokozi (karagwe kagera Tanzania)
7 Kamena, 2011 at 16:41 EAT

Why do Tanzania is very poor more than other Countries in africa?

ANPPCAN Tanzania chapter (makumbusho dar es salaam)
8 Kamena, 2011 at 11:54 EAT (edited 26 Werurwe, 2012 at 08:06 EAT)

its on due to xploitaion under capitalism system

THOBA JOHN (DAR ES SALAAM)
8 Kamena, 2011 at 11:59 EAT (edited 26 Werurwe, 2012 at 08:06 EAT)

Tanzania , is poor because of the following reasons firslty, we don't have good governance, we have poor ultilization of the land or natural resources, bad  politics and we have people or leaders who do not have proper morals and partriotism in their country.

africanheritage (dar es salaam)
8 Kamena, 2011 at 12:06 EAT (edited 26 Werurwe, 2012 at 08:06 EAT)

some more factors are responsible for that deadly stuation that facing tanzanians

1.poor leadership, leading to poor utilizaton of available resources

2.lack of education, this undermines the tanzanians plans and knwoledge

3.lack of creativity, this is accompanied with poor family foundation and goverment responsibilities to the people

4.lazziness, the most other factor leading to your problem, we are not lead to work

5.many more factors here

AYORPO (Tabata CCM - Dar es Salaam)
8 Kamena, 2011 at 12:54 EAT (edited 26 Werurwe, 2012 at 08:06 EAT)

@Jonathan Mulokozi (karagwe kagera Tanzania): Tutaendelea kuwa nchi masikini kwa kuwa Watanzania walio wengi ni wavivu hawataki kujishughulisha wanataka mambo ya readymade kitu kisichowezekana kwa watu wanaopenda maendeleo na wanaokataa umasikini.   Ninachokiona hapa kwa viongozi wa nchi yetu wafanye kazi ya ziada ili kupambana na hii hali; kwa mfano watu asubuhi tu wako kwenye mabaa, wanacheza mabao, wamefika maofisini - wanaanza kuongelea mambo ya mipira iliyochezwa jana au itakayochezwa bila kuzingatia kitu alichoenda kukifanya pale ofisini, hivyo ombi langu kubwa Serikali yetu isichoke kuyakemea haya au ikibidi yatungiwe sheria zinazobana mambo yote yanayofanya nchi yetu kuendelea kuwa masikini.  Tuchukue mifano kutoka nchi za wenzetu kama Thailand, ukifika pale mchana utafikiria nchi ile haina watu wengi - yaani asubuhi hadi saa kumi na mbili ni saa za watu kuwajibika kama maofisini, mahospitalini, viwandani, mashambani. Kuanzia hiyo saa kumi na mbili ndio watu wanaingia kwenye ujasiliamali kama; kufungua maduka (ni wakati wa shopping sasa), magenge ya vyakula (e.g. chips barabarani), hoteli za vyakula, wauzaji wa biadhaa za kila aina barabarani (huku kwetu twawaita Wamachinga) nakadhalika, yaani hawa watu wako committed kweli katika kuhakikisha kwamba njaa kwao haitajwi na kama ni mkulima anahakikisha anafungasha na mlo wake wa kumtosha anatakapokuwa huko (kitu ambacho kilifanyika miaka ya sitini huko vijijini na Tanzania yetu hii hii na mambo yakiwa yanakwenda vizuri - kijiji au mtu aliyepata njaa alikuwa ni wa kwenda shamba saa nne na kurudi nyumbani saa sita njaa inamuuma - huyu lazima umaskini nyumbani kwake utajwe na uonekane hivyo kuletea familia yake aibu mpaka hata kwa watoto wake wa kike kusababisha kutoolewa kwa kile kinachoitwa kuoa katika familia hiyo ni kukaribisha umaskini ndani ya familia nyingine.

Ninamaliza kwa kuiomba tena Serikali itilie sana mkazo ikisimamia vizuri maendeleo tunayoyaona maendeleo lakini yanazidi kutupeleka kwenye umasikini, mtu yuko kwenye TV tangu asubuhi hadi jioni si kwamba ni vijana tu hata watu wazima na hasa watumishi wengi wanapokuwa hawako kazini, wanakosa mwelekeo wa maisha hivyo kushindwa hata kutunza familia na umasikini kuzidi, baa zinafunguliwa tangu asubuhi, mwajiri mchana anaita mtumishi ofisini kwake macho mekundu ananuka pombe, lakini anashindwa kukemea wakati mwingine huyo mtu kaingizwa kazi na mtu mkubwa au ni mtoto wa mkubwa, pia tumuenzi Mwalimu J.K. Nyerere ambaye hakutaka watoto wake wapewe upendeleo, watumike sawasawa inavyopaswa hata walipokuwa masomoni. TUILINDE NCHI YETU TUILILIE TANZANIA YETU kwa kuikomboa isiwe tegemezi na kulemewa kwa umasikini.

RADGES JONATHAN MULOKOZI (KIMARA DAR)
31 Gicurasi, 2014 at 12:17 EAT
i like 2 say that prayers are needed 4 our country tanzania. GOD bless tanzania GOD bless africa.

Andika ubutumwa

Tumira abandi mu kiganiro