Envaya
Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri

Tawi jipya

Community Organization for Life and Development "COLD" imefungua tawi jipya katika kijiji cha Bugalagala, wilaya ya Bukombe. Tawi hilo litafanya kazi kwa mujibu wa kanuni na taratibu zinazoiongoza COLD na si vinginevyo. Watendaji wa tawi hili watawajibika kwa uongozi wa asasi katika makao makuu ya asasi.
26 Mei, 2011
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.