Parts of this page have been translated from (unknown language) to English. View original · Edit translations
Tawi jipya
Community Organization for Life and Development "COLD" imefungua tawi jipya katika kijiji cha Bugalagala, wilaya ya Bukombe. Tawi hilo litafanya kazi kwa mujibu wa kanuni na taratibu zinazoiongoza COLD na si vinginevyo. Watendaji wa tawi hili watawajibika kwa uongozi wa asasi katika makao makuu ya asasi.May 26, 2011