Log in
CHAMA CHA MICHEZO CHA VIZIWI -TANGA(CHAMIVITA)

CHAMA CHA MICHEZO CHA VIZIWI -TANGA(CHAMIVITA)

Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

large.jpg

WASHIRIKI WA SEMINA HANDENI WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA.

large.jpg

WASIRIKI WA SEMINA KUHUSU SERA YA TAIFA MAENDELEO YA MICHEZO WAKIWA UKUMBINI NI WASHIRIKI WA WILAYA YA HANDENI MKOANI TANGA.

large.jpg

WASHRIKI WA SEMINA KUHUSU SERA YA TAIFA YA MAENDELEO YA MICHEZO WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA WILAYANI KOROGWE.

CHAMIVITA KINAKULETEA PICHA ZA MATUKIO MBALI MBALI.

large.jpg

Viongozi watendaji wa CHAMIVITA Mweka hazina Bi mwanakombo Athumani na Mwenykiti wa CHAMIVITA Bwana David Nyange.

large.jpg

Katibu mkuu wa CHAMIVITA TANGA bwana ALLY NASSORO Akifafanua jambo katika semina ya michezo iliyofanyika wilayani korogwe.kushoto ni katibi Tawala wa wilaya ya korogwe

CHAMIVITA SPORTS CLUB YAENDELEA NA MAZOEZI KARIBUNI

CHAMIVITA SPORTS CLUB YAITWANGA MAKORORA STARS BAO 1-O katika mechi ya kirafiki.

CAHMIVITA YAHITAJI UWANJA MAALUM WA MAZOEZI NA PIA INAWAKARIBISHA VIJANA U16,U18,U20 WAWE VIZIWI NA WASIO VIZIWI KUJIUNGA NA TIMU ILA HAKUNA MSHAHARA(KWETU VURUGU NA LUGHA CHAFU NI MWIKO ILI HESHIMA KWA WOTE NDIO DIRA YETU KATIKA MICHEZO.

TUNAKARIBISHA MECHI MBALIMBALI ZA KIRAFIKI TUMA SMS KWA NAMBA ILIYOPO KATIKA TOVUTI HII.

CHAMIVITA kinaendelea na mafunzo kwa wanamichezo viziwi katika wilaya ya muheza ikiwa ni awamu ya mwisho ya mradi.