Kuunganisha jamii ya viziwi katika nyanja za utamaduni na kuandaa matamasha mbali mbali ya michezo kwa manufaa ya viziwi wa mkoa wa TANGA.
Kuhamashisha jamii ya viziwi kupenda michezo ili wapate kuibua vipaji vyao na kuwa na vijana viziwi wenye ARI ya kushiriki katika michezo mbalimbali.
Kupigania haki na usawa katika michezo na kuondokana na hali ya unyanyapaa katika michezo na kushirikiana na vyama vingine vya michezo ndani na nje ya nchi.
Mabadiliko Mapya
CHAMA CHA MICHEZO CHA VIZIWI -TANGA(CHAMIVITA) imeongeza Habari.
TANGAZO. – CHAMA CHA MICHEZO CHA VIZIWI TANGA-CHAMIVITA. – CHAMIVITA-TANGA kinaomba ushirikiano na wadau mbalimbali ili kuinua ari ya... Soma zaidi
27 Mei, 2014
CHAMA CHA MICHEZO CHA VIZIWI -TANGA(CHAMIVITA) imeongeza Habari.
CHAMA CHA MICHEZO CHA VIZIWI TANGA – (CHAMIVITA) – TANGAASSOCIATION OF SPORTS FOR THE DEAF... Soma zaidi
4 Mei, 2012
CHAMA CHA MICHEZO CHA VIZIWI -TANGA(CHAMIVITA) imeumba ukurasa wa Timu.
DAVID NYANGE- MWENYEKITI – ALLY NASSORO-KATIBU – MWANAKOMBO ATHUMANI- MWEKA HAZINA
19 Aprili, 2012

CHAMA CHA MICHEZO CHA VIZIWI -TANGA(CHAMIVITA) imeongeza Habari 14.
KIKOSI CHA CHAMIVITA SPORTS CLUB KILICHOIFUNGA MAKORORA STAR BAO 1-0
25 Machi, 2012

CHAMA CHA MICHEZO CHA VIZIWI -TANGA(CHAMIVITA) imeongeza Habari 3.
Viongozi watendaji wa CHAMIVITA Mweka hazina Bi mwanakombo Athumani na Mwenykiti wa CHAMIVITA Bwana David Nyange.
21 Machi, 2012
Sekta
Sehemu
Tanga, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu