sababu zimegawanyika ktk maeneo matatu
1.kabla ya ujauzito
2.Wakati wa ujauzito
3.Baada ya kuzaliwa
•1.Kabla ya ujauzito,ambapo mama kuwa na matumizi yasiyo sahihi ktk dawa za magonjwa ya binadamu,unywaji uliokithili wa pombe,madawa ya kulevya,uvutaji wa sigara uliokithiri,magonjwa ya zinaa,magonjwa ya kurithi,homa ya manjano,
•2. wakati wa ujauzito ambapo pamoja na sababu za mwanzo pia nyingine ni kuchelewa kujiunga clinic ili kufuatilia ujauzito na afya ya mama na mtoto,vipigo au kupigwa kwa mama mjauzito,
•3. wakati wa kujifungua na baada ya kuzaliwa,huduma duni ya kujifungua,watoa huduma kushindwa kumsaidia mama kujifungua salama,mtoto kuchelewa kupata pigo la mwanzo-score low marks- mtoto kupatwa na magonjwa hasa homa kali,maralia,UTI,homa ya uti wa mgongo,homa ya manjano,lishe duni,matumizi yasiyo sahihi ya dawa na matumizi ya muda mrefu ya dawa,