Injira
chama cha wazazi wa watoto wenye ulemavu wa mtindio wa ubongo, akili  na viungo Tanzania

chama cha wazazi wa watoto wenye ulemavu wa mtindio wa ubongo, akili na viungo Tanzania

msasani-kinondoni, Tanzania

Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

CP DAY OCTOBER 7,2015

Chawaumavita kitaadhimisha siku ya CP oktoba 7 2015 ktk viwanja vya mnazi mmoja kuanzia saa 3 asubuhi hadi saa 6 mchana.

tunatarajia mgeni rasmi atakuwa Mh Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam alhaj Said Meck Sadick,kauli mbiu ya mwaka huu ni "i am here" ambapo mtoto mwenye cp anajitambulisha kwa jamii ili aweze kupata huduma zake za msingi na hakia kiraia, na "we are here" wazazi wanajitambulisha ili jamii iweze kutambua changamoto ambazo wazazi wente watoto walemavu wanakabiliana nazo.

katika maadhimisho hayo tunatarajia kupata wenzetu wa CCBRT ambao watakuwepo ili kusaidia kutoa elimu kwa umma juu ya CP(celebral palsy)

22 Nzeli, 2015
« Inyuma Ahakurikira »

Tanga igitekerezo

Izina ryawe:
Aho uherereye
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.