Envaya

chama cha walemavu tanzania

iringa manispaa, Tanzania

1, kuboresha hali za walemavu mijini na vijijini.

2. kuelimisha jamii dhidi ya unyanyapaa kwa walemavu.

3, kumuwezesha kila mlemavu kupata haki zake za msingi

kama vile elimu; afya; ajira na makazi,

 

Mabadiliko Mapya
chama cha walemavu tanzania imeongeza Habari.
len tuna semina
3 Oktoba, 2011
chama cha walemavu tanzania imejiunga na Envaya.
3 Oktoba, 2011
Sekta
Sehemu
iringa manispaa, Iringa, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu