Fungua
CHAMA CHA WASTAAFU NA WAZEE [M] MTWARA

CHAMA CHA WASTAAFU NA WAZEE [M] MTWARA

mtwara mjini, Tanzania

Chama cha Wastaafu na Wazee Mkoa wa Mtwara ni Asasi ambayo inashughulika katika Mkoa wa Mtwara ambayo imeazishwa mwaka 1987 na kuandikishwa mwezi Machi, 1998. Wanachama hukutana mara kwa mara kujadili  maendeleo ya chama na hasa kuondokana na umaskini kwa wazee.Tatizo la chama kwa hivi sasa ni kupata njia ya kuongeza uchumi.

18 Mei, 2011
« Iliyotangulia

Maoni (3)

Asasi yetu ni miongoni mwa Asasi ambayo inahitaji msaada wa kuwezeshwa kiuchumi.
18 Mei, 2011
Martha Mgalla (Vigaeni) alisema:
licha ya kuwezeshwa kiuchumi je mna miradi gani ambayo inawawezasha kiuchumi? Na mmeisaidia vipi jamii kupitia Asasi yenu?
13 Juni, 2011
Radhina Kipozi alisema:
Swali zuri sana dada Martha...nadhani mkili jibu hili swali wafadhili na dunia nzima itaelewa hasa msaada huo wa kiuchumi mnaouomba mtapatiwa kwa njia gani, na mtautumiaje hasa.
15 Juni, 2011

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.