Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

Jamii yetu ifahamu matumizi ya lugha ya Alama kuwe na uwiano wa mawasiliano kati yetu (viziwi na jamii nyingine).

Kutetea haki ya viziwi kwa vyombo ya usalama,mahakama na polisi ili kuwatambua jamii ya viziwi.

Kujenga ushirikiano na taasisi (asasi) mbalimbali ili kuwawezesha kulitambua kundi hili.

Kutoa mafunzo ya lugha ya Alama ili kutusaidia kutafsiri na kutupatia habari mbalimbali ili kuwa sawa na mabadiliko ya Dunia (Tabia Nchi).

April 27, 2012
« Previous Next »

Comments (2)

magessa (mwanza) said:
Je, mimi ambaye si kiziwi naweza kujiunga na chama hiki?
August 11, 2012
Ally Jumanne (dodoma) said:
Unaweza kujiunga ila unakuwa mwanachama wa kushirikisha tu na sio kiziwi origion
August 11, 2012

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.