Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Partner Organizations
MWELA THEATRE TAWI LA VUGA
tumepokea mail kutoka envaya, hii ni kuonesha tuko tayari kwa mashirikiano kamili
Latest Updates

MWELA THEATRE TAWI LA VUGA added 10 News updates.
MUEZESHAJI AKIWASILISHA MALIGHAFI ZITAKAZOTUMIKA KUTENGENEZEA BIDHAA MBALIMBALI KATIKA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI MAFUNZO YALIYOENDESHWA NA MWELA NA KUFADHILIWA NA MWELA VUGA
September 25, 2013
MWELA THEATRE TAWI LA VUGA updated its Projects page.
UTANGULIZI – Mwela theatre group tawi la vuga ni kikundi cha vijana cha kujitolea kilichoanzishwa tarehe 28/1/2010.ni muunganiko wa vijana kutoka katika vijiji vya Kidundai, Kiluwai,Vuga Kishewana Bazo wakaunda Dira ya pamoja ya kuwa na jamii iliyoelimika na inayopenda kujifunza bila kikomo.... Read more
September 25, 2013

MWELA THEATRE TAWI LA VUGA added 28 News updates.
Picha hapo juu ni: Salimu Hemedi wa gazeti la Mwananchi na Anna wa Magazeti ya Serikali(Habari Leo) wakichukua maelezo kwa washiriki wa mkutano wa uchukuaji wa maoni ya mabadiliko ya katiba mpya Read more
September 23, 2013
MWELA THEATRE TAWI LA VUGA created a Projects page.
UTANGULIZI – Mwela theatre group tawi la vuga ni kikundi cha vijana cha kujitolea kilichoanzishwa tarehe 28/1/2010.ni muunganiko wa vijana kutoka katika vijiji vya Kidundai, Kiluwai,Vuga Kishewana Bazo wakaunda Dira ya pamoja ya kuwa na jamii iliyoelimika na inayopenda kujifunza bila kikomo.... Read more
September 23, 2013
MWELA THEATRE TAWI LA VUGA created a Home page.
(1) Kuinua vipaji vya vijana na watoto katika sanaa na michezo – (2) Kulinda na kutangaza utamaduni wa mtanzania ndani na nje ya nchi kwa kuzingatia – maadili na sheria za nchi – (3) Kutete haki za vijana,wanawake na watoto katika mambo yanayowahusu – (4) ... Read more
September 23, 2013
MWELA THEATRE TAWI LA VUGA updated its History page.
mwela theatre group vuga ni tawi la mwela theatre group la Dar-es-salaam tawi hili la mwela lilianza kufanya kazi hata kabla halijakuwa tawi la mwela kilikua kikundi tu cha kijamii kikundi hiki kilianzishwa tarehe 16/4/2006 kikiwa kama kikundi cha wakulima wadogo wadogo na kuelimisha jamii kwa njia hisio rasmi... Read more
September 23, 2013

MWELA THEATRE TAWI LA VUGA added 11 News updates.
baadhi ya washiriki wakishuka katika gari wakiwa tayari kuelekea ukumbi wa Mkutano
August 5, 2012