1. Kuwaendeleza washairi kiutunzi na maslahi ya kazi zao.
2. Kukikuza, kuendeleza na kukitunza kiswahili ndani na nje ya Tanzania.
3. Kulinda na kutunza utamaduni wa mswahili, aidha mila na silka zetu.
4. Kuendesha na kuunga mkono kampeni zote za kitaifa na kimataifa.
5. Kampeni maalum za kulinda maadili ya mswahili, wanawake, watoto, haki za kibinaadam, na unyanyasaji wowote wa kijinsia.
Mabadiliko Mapya
CHAMA CHA KUENDELEZA WASHAIRI ZANZIBAR imeongeza MWELA THEATRE TAWI LA VUGA kwenye orodha yake ya Mashirika ya Ubia.
tumepokea mail kutoka envaya, hii ni kuonesha tuko tayari kwa mashirikiano kamili
13 Mei, 2012
CHAMA CHA KUENDELEZA WASHAIRI ZANZIBAR imeumba ukurasa wa Timu.
ZANZIBAR NGOs CLUSTER. – WIZARA YA AFYA. – WIZARA YA HABARI. – IDARA YA MAZINGIRA. – BAKIZA, BASAZA, BAKITA, UKUTA NA JUMUIA NYENGINE ZA KISWAHILI.
26 Mei, 2011
CHAMA CHA KUENDELEZA WASHAIRI ZANZIBAR imeumba ukurasa wa Miradi.
Kushiriki katika kampeni mbalimbali ikiwemo: – 1) Kupambana na maambukizi mapya ya HIV/AIDS. – 2) Kuhamasisha utunzaji wa mazingira. – 3) Kutoa elimu ya utungaji na utumiaji fasaha wa Lugha ya kiswahili. – 4) Kufanya mashindano ya utungaji na usomaji wa mashairi na ngonjera pia michezo ya... Soma zaidi
26 Mei, 2011
CHAMA CHA KUENDELEZA WASHAIRI ZANZIBAR imeumba ukurasa wa Historia.
IMEANZISHWA 1996 ZANZIBAR, NA KUZINDULIWA RASMI 1997 NA WAZIRI WA HABARI WA SMZ, MHE. ISSA MOHD ISSA. – INA WANACHAMA 170. MIONGONI MWAO NI WASHAIRI NA WATUNZI MBALIMBALI, WAPENZI WA MASHAIRI NA WANAKISWAHILI. – MAKAO MAKUU YA AWALI YALIKUWA KIKWAJUNI WELES (1996-2007), KISHA KIJITO UPELE... Soma zaidi
26 Mei, 2011
CHAMA CHA KUENDELEZA WASHAIRI ZANZIBAR imejiunga na Envaya.
26 Mei, 2011
Sekta
Sehemu
Amani Zanzibar, Unguja Mjini Magharibi, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu