Dira
Kujenga jamii endelevu yenye mtazamo chanya juu ya maendeleo ya Taifa kwa ujumla.
Dhamira
- Kuwawezesha watanzania hasa vijana kuwa na dira chanya ya kujitegemea wenyewe.
- Kuijengea jamii uwezo wa kuzitambua na changamoto mabalimbali za maendeleo na kupambana nazo.
- Kuijengea jamii misingi ya maadili mema na utawala bora.
Mabadiliko Mapya
ASASI YA UKOMBOZI WA VIJANA TANZANIA ( AUVITA) ina ujumbe mpya katika mada KWANINI VIJANA WANAJIHUSISHA NA VITENDO VYA UOVU?.
ASASI YA UKOMBOZI WA VIJANA TANZANIA ( AUVITA): @STEVEN SYLIVESTER DUGUZA (KAGERA): nashukuru naomba unitumie email yako tuwasiliane
22 Juni, 2018
ASASI YA UKOMBOZI WA VIJANA TANZANIA ( AUVITA) imeongeza Habari.
UGONJWA WA MAFUA YA KUKU
Ugonjwa huu umekuwa ni hatari sna hasa kutokana na usumbufu wake wa kimatibabu pale unapoingi katika shamba la mkulima mfugaji wa kuku, hapa nakuletea maelezo mafupi kuhusu ugojwa... Soma zaidi
22 Juni, 2018

ASASI YA UKOMBOZI WA VIJANA TANZANIA ( AUVITA) imeongeza Habari.
Tumeamua kujikita katika shughuli za kilimo hususani kilimo cha bustani na ufugaji wa kuku. Ni dhamira yetu kuhakikisha kuwa jamii inapata lishe bora na salama kwa afya, ni fahari kwetu kuona kuwa vijana wanaelimika na kuchagua mfumo wa maisha kiuchimi kupitia rasilimali zinazo wazunguka kama nyezo ya kuwainua kiuchumi, jamii... Soma zaidi
21 Mei, 2017
ASASI YA UKOMBOZI WA VIJANA TANZANIA ( AUVITA) imeongeza Habari.
TANZANIA NA UZALENDO WETU TUMEKOSEA WAPI? – Uzalendo ni kitendo cha mtu kuipenda nchi yake, rasilimali zilizomo na watu wake kwa moyo wa dhati kwa kuilinda, kuithamini wakati wote na mahali popote. – Uzalendo katika nchi ndio chanzo cha maendeleo na usawa... Soma zaidi
7 Februari, 2015
ASASI YA UKOMBOZI WA VIJANA TANZANIA ( AUVITA) ina ujumbe mpya katika mada KWANINI VIJANA WANAJIHUSISHA NA VITENDO VYA UOVU?.
Africa Upendo Group: nitumie email yako binafsi yangu pia ukitualika tunakuja kukuonyesha njia utakayoweza kufanya maajabu.
24 Juni, 2014

ASASI YA UKOMBOZI WA VIJANA TANZANIA ( AUVITA) imeongeza Habari.
TUNAIENZIJE SIKU YA MAZINGIRA?Umepanda mti leo? – Leo ni siku ya mazingira duniani ambayo inatukumbusha kuwa uhai wetu inalindwa na mazingira yetu, hivyo tukiwa kama wadau katika sekta ya mazingira tunawakalibisha wadua na wahifadhi mazingira ili kuu tetea uhai wetu kwani kuishi... Soma zaidi
5 Juni, 2014
Sekta
Sehemu
Bunda, Mara, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu