Envaya
Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

FCS Narrative Report

Introduction

upimaji wa afya na maendeleo
uwama
mafunzo ya usimamizi wa miradi
fcs/rsg/1/10/117
Dates: january 1/2011Quarter(s): march 31/2011
Deo crispin

Project Description

Civil Society Capacity Strengthening
Ni kutoa mafunzo kwa viongozi 6 wanachama 14 wa asasi.
mafunzo ya:usimamizi wa miradi , utawala bora ndani ya asasi usimamizi wa fedha na utayarishaji wa kumbukumbu za fedha
RegionDistrictWardVillagesTotal Beneficiaries
Rukwasumbawanga mjinikatandalajangwani20
 Direct BeneficiariesIndirect Beneficiaries
Female5(No Response)
Male2(No Response)
Total7(No Response)

Project Outputs and Activities

uelewa na uwezo wa viongozi katika uandaaji na usimamizi wa mradi
kuwepo kwa mifumo ya uongozi na usimamizi ulio wazi inayo wajibika ndani ya asasi.
kuimarika kwa uwezo wa usimamizi wa utunzaji wa fedha ndani ya asasi .
kuwepo kwa muongozo wa fedha na kanuni za fedha.
kutoa mafunzo ya siku 3 kwa viongozi katika ubunifu na usimamizi wa miradi.
kutoa mafunzo ya siku moja ya utawalandani ya asasi kufanya tathmini ya uwezo ndani ya asasi.
kutoa mafunzo ndani ya siku 2 ya utunzaji wa daftari la fedha kwa wanachama 14 na viongozi 6.
kuandaa mwongozo na kanuni za usimamizi wa utawala wa fedha.
gharama za utawala.
viongozi 7 wamepata ubunifu na usimamizi wa miradi ulio sahihi.
viongozi 6 na wanachama 14 wamepata mafunzo ya siku moja juu ya mifumo ya utawala ndani ya asasi
viongozi 6 na wanachama 14 wa mepata mafunzo ya siku 2 juu ya utunzaji wa daftari la fedha na kumbukumbu za fedha .
viongozi 6 na wanachama 14 wamepata mafunzo ya mwongozo na kanuni za utawala na usimamizi wa fedha.
posho ya mweka hazina na mratibu pango la ofisi ,ununuzi wa meza na shajala.
Hakuna tofauti
953,500
740,300
1,480,600
740,300

Project Outcomes and Impact

viongozi wa asasi wamepata uelewa wa kusimamia miradi ya asasi.
viongozi na wanachama wamepatauelewa , utunzaji wa mahesabu kumbukumbu za mahesabu
na mifumo ya fedha na kanuni za fedha .
kuna usimamizi mzuri wa miradi
utawala ndani ya asasi upo wazi
kumekua na taratibu za utumishi na mikataba ya kazi imewekwa kwa wanachama wote.
tumetengeneza kanuni za fedha na zina tumika sasa

viongozi na wanachama wana elewa hatua za uandaaji wa miradi na kuusimamia .
Tija imeongezeka katika usimamizi wa fedha
Matumizi holele ya fedha yame kwisha.

Elimu waliopata kupitia mafunzo haya ya kujengewa uwezo wa kusimamia miradi,utawala ndani ya asasi,usimamizi mifumo na kanuni za fedha.

Lessons Learned

Explanation
Tumejifunza jinsi ya kuandaa na kusimamia miradi.
Tumejifunza mifumo ya utawala gbora ,usimamizi ulio wazi ,uwajibi kaji ndani ya asasi.
Tumejifunza utunzaji wa kumbukumbu za fedha ,ujazaji wa daftari la fedha{anlysis book}
uandaaji wa fom ya maombi ya fedha uandikaji wa hati ya malipona uandaaji wa bajeti.
Tumejifunza mwongozo na kanuni za fedhana ,utawala wa fedha ndani ya asasi na mifumo ya fedha.
Tumejifunza mifumo ya ununuzi na ugavi ,.pamoja na hati zitumikazo wakati wa ununuzi.
Hati zitumikazo katika kuandaa malipo

Challenges

ChallengeHow it was overcome
Fedha ya kufanyia mradi ilichelewa kufikaTulibadirisha tarehe za kuanza mradi

Linkages

StakeholderHow you worked with them
Anglican church sumbawangawalititukodishia ukumbi
wawezeshaji wawili walitoka anglican
ofisi ya mkurugtenzi wa manispaa ufunguzi wa mafunzo
ofisi ya mkuu wa mkoamwezeshaji mmoja alitoka ofisi ya mkuu wa mkoa

Future Plans

Activities Planned1st Month2nd Month3rd Month
mradi wetu ulikua wa robo mmoja tu!

Beneficiaries Reached

    Direct BeneficiariesIndirect Beneficiaries
WidowsFemale----------(No Response)
Male---------(No Response)
Total(No Response)(No Response)
People living with HIV/AIDSFemale11(No Response)
Male9(No Response)
Total20(No Response)
ElderlyFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
OrphansFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
ChildrenFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
DisabledFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
YouthFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
OtherFemale(No Response)(No Response)
Male(No Response)(No Response)
Total(No Response)(No Response)
(No Response)

Events Attended

Type of EventWhenLessonsActions Taken
mafunzo ya usimamizi wa ruzuku yalio fanyika DODOMAnovemba 2010jinsi ya jusiya kusimamia miradikutoa marejesho kwa wenzetu na kufanya mafunzo
mifumo ya usimamizi wa fedha na utunzaji wa fedha7-11/2/2011utunzawa kumbukumbu za fedha
mifumo ya fedha mifumo ya ugavi na ununuzi
kutoa marejesho kwa wenzetu na kutengeneza mifumo ya fedha .

Attachments