Log in
African Heritage Foundation

African Heritage Foundation

Dar es Salaam, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

Mkurugenzi mtendaji wa shirika la African Heritage Foundation  nchini TANZANIA ndugu Albert T.Msafiri anatoa wito kwa vijana kuunga mkono shirika hilo katika jitihada zake za kutokomeza ujinga kwa kujitolea kufundisha katika shule za kata chini ambazo zina matatizo makubwa ya walimu. Albert aliendelea kusema kuwa shule za kata ni maeneo ya vijijini hayana walimu kabisa alitolea mfano wa shule  ya secondari ya Chetu iliyoko Wilaya ya Urambo mkoani Tabora ambayo inadiriki kuajiri walimu wa muda waliohitimu kidato cha nne na kupata madaraja yasiyofaa. Kwa kuonesha msisitizo mkuu huyo amejitolea kufundisha bure katika shule nne za kata zilizopo katika vijiji mbalimbali vilivyopo wilayani Urambo.

    Mkurugenzi Mtendaji anachukua nafasi hii kuwatakia mfungo mwema wa mwezi mtukufu wa Ramadhani waislamu wote duniani. pichani ni wanafunzi wa Tallented Brothes Academy learning centre ambayo ipo chini ya African Heritage Foundation wakijadili somo la Historia katika viwanja vya kituo hicho

 

August 11, 2010
Next »

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.