The E-mail of ABHASU is : abhasuinfo@yahoo.com
Anuani ya barua pepe ya ABHASU ni : abhasuinfo@yahoo.com
Anuani hii inaweza kutumiwa na mwanachama au mtu yeyote kwa ajili ya mawasiliano na asasi yetu.
Website yetu ni : https://envaya.org/abhasu
Tunawashukuru sana ENVAYA kwa kutuwezesha kupata wavuti huu.
Imeandikwa na
Clifford Majani[ Mwenyekiti wa ABHASU]
February 3, 2012