Log in
Youth Control Society ( YOCOSO)

Youth Control Society ( YOCOSO)

Njoro ward, Moshi - Kilimanjaro, Tanzania

Vipindi vya redio ni moja kati ya shughuli za mradi wa PETS unaotekelezwa hivi sasa. Redio sesions is part of PETS project activities which is under implementation.

Mafunzo kwa kamati za maji kutoka katika kata tano za wilaya ya Moshi juu ya ufuatiliaji wa rasilimali za uma katika maeneo yao.

YOCOSO imeweza kufanya matamasha katika kata tano za wilaya ya Moshi yenye lengo la kuongeza uelewa kwa wananchi wa kata hizo kutambua umuhimu wa kufanya ufuatiliaji wa rasilimali za uma (PETS). katika picha ni moja ya matamasha katika kata ya Mabogini.

large.jpg

Warsha kwa wadau juu ya USIMAMIZI WA RASILIMALI ZA UMA SEKTA YA MAJI

large.jpg

YOCOSO imeanza utekelezaji wa mradi wa UFUATILIAJI WA RASILIMALI ZA UMA SEKTA YA MAJI (PETS) katika wilaya ya Moshi. shughuli katika picha ni utambulisho wa mradi kwa wadau.

large.jpg

Youth Control Society is among of 153 organizations in Tanzania that are going to beĀ funded by Foundation For Civil Society - FCS in 2017. In the picture, Youth Control Society staff (Gordad and Halima) attending Manange your grant training in Dodoma.

large.jpg

By appreciating the great work performed with Youth Control Society, Moshi municipal council they give us a peace of land to build our office in Njoro ward. This is our new office we build in Njoro near to ward office. Thanks council representative for this big support.