Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations
Tarehe 04/07/2012 kutakuwa na kikao cha kujadili matumizi Alama za msingi zinazoweza kutumiwa na wakalimani wakati wa SENSA mwezi August 2012. lengo kutafuta njia rahisi ya mwasiliano kwa viziwi waishio vijijini ambao % kubwa hawajuhi kutumia lugha rasmi ya mawasilano (LUGHA YA ALAMA TANZANIA)
4 Nyakanga, 2012
Ibitekerezo (0)